bryan2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,321
- 4,671
Kwa ufupi habari zinasema Marehemu huyo alikua ni Raia wa Ghana akifariki Dar es Salaam nyumba ya wageni na baadaye Kupelekwa mochwari ya Hospitali ya Mwananyamala.
Kamanda Sirro anasema Watuhumiwa wote wamekamatwa na pia Aliyeuziwa dawa hizo pia katiwa mbaroni kwan baada ya kuzitoa wafanyakazi hao walienda kuziuza.
Aliyewapa taarifa Marehemu kabeba dawa tumboni kuna utata hapa.
Kweli Vita Madawa ya Kulevya inahitaji Nguvu zaidi.