Waziri Maghembe Umedanganywa!

Mparee2

JF-Expert Member
Sep 2, 2012
2,580
4,262
Jana nilipokuwa nasikiliza Muheshimiwa waziri akihitimisha Bajeti ya wizara yake
Nilimsikia akisema kuwa tozo za mlima kilimanjaro bado ni rahisi kwa kuwa Makampuni huwatoza wageni dola za kimararekani 6000 kwa mgeni mmoja ($6000pp)

Nasikitika kusema kuwa hizo bei sio sahihi ni kama mara mbili ya bei halisi
Nampa homework rahisi tu; Kampuni inayopandisha wageni wengi wa Mlima Tanzania inaweza kuwa Zara (ile ya Moshi)
Bila hata kuwauliza , ukienda Kwenye website yake ameweka bei ya kuuzia 2017/2018 ni dola za Kimarekani 1801 ($1801pp) na ujue wazungu wapo digtal ulicho andika ndicho wanafuata.
Najua zipo kampuni chache zinazotoza ghali kati ya 2000 to $3000 ila hiyo ya $6000??? tunaomba muongozo
Kama kuna uwezekano wa kusaidia makampuni ya Mlima ayasaidie kwa kuwa mlima umeajiri watu kwa maelfu. Serikali ingeweka tu utaratibu mzuri wa kukusanya kodi kutoka kwa wapagazi

Angalizo; kama imetokea wageni wakapewa hiyo bei (special price) kulingana na mahitaji yao yanayoweza kufanya kuwa na mara mbili ya team mlimani; sidhani kama inafaa aichukulie kama ndio bei ya soko!
 
So yeye amesema cheap wewe unasema cheapest! Mimi nasema cheaper !!! Au vipi bro!! Mambo flani tu ya kucheza na maneno!!
 
Back
Top Bottom