Rais Magufuli baada ya madini twende TANAPA

".. . Na-Kila Mtu atauchukua,
Mzigo wake mwenyewe,
Siku hiyo ikifika"
 
Fitna zenu bhana! muacheni mzee j4 maghembe aenjoy ramadhani yake.
 
Ningemuombea lakini anaroho mbaya kwa wapinzani! Chuki sana!
Wapinzani ndio wana chuki na roho mbaya soma hata matamshi yao,kama sio roho mbaya na chuki nini?kabla hujalaumu upande mwingine jiangalie kwanza mwenyewe,huenda mchawi ni wewe mwenyewe
 
Mtukufu Rais baada ya madini twende na TANAPA kujua wanyama wangapi walisafirishwa nje? Huko nako kuna balaa zaidi. Naomba tu watanzania tuzidi kumuombea rais wetu. Mungu akubariki sana Rais wetu.
Tanapa hapatoshi sasa hivi.
 
Back
Top Bottom