Msaada kujuzwa tofauti kati ya LAGER na LITE kwenye beer

Lager inakuwa na mning'inio wa ziada LITE ni nyepesi haina mning'inio wa ziada

Lager huwa chungu Lite haiwi chungu sana
 
Zote ni lager utofauti ni kiwango cha pombe na uchungu.. Light alcohol yake ni chini ya 4 na ipo soft
 
Back
Top Bottom