Hello JF
Matokeo ya mwaka jana ya kidato cha nne kwa mkoa wa Daresalaam hayakua mazuri....
Mie nadhani sababu mojawapo ni Dar kuwa na utitiri wa shule...
Hakuna body inayo regulate shule hizi...
Nini maana ya maisha haya.
mtu amezaliwa leo, kesho anakufa
Mtu anaishi katika jumba leo, kesho anaishi
chini ya ardhi.(mfu)
Mtu anaendesha gari leo, kesho anaendeshwa kwenye ambulance(ajali)
Mtu...
Baadhi ya bidhaa za viwandani zikishatengenezwa kwa mara ya kwanza,bidhaa hizo huendelea kuboreshwa kwa kutoa matoleo (models) zilizo bora zaidi kuliko yale matoleo ya awali.
Kwa mfano, Simu za...
Ripoti ya madini moto
2008-07-10 11:49:49
Na Jackson Kalindimya, Dodoma
Bunge limekubali kupanga muda maalum wa kuijadili ripoti ya Kamati ya Rais ya Kupitia Mikataba ya Madini nchini...
Askari Wa usalama barabarani (trafiki) hahusiki na makosa ya bima wala motor vehicle licence uwapo barabarani, kwasababu BIMA ( insurance) siyo lazima kwenye gari, kazi ya bima ni nikulinda...
Top quality -Bonta Concious ,Bonta Maarifa ni msomi wa Degree ya Health Sciences,kisha akasomea , Master of Orthoptics ni msanii msomi mwenye utatu mtakatifu 1.Nidhamu kwa jamii yake 2.Tungo...
Habarini wakuu!
Kama ilivyo kawaida yetu humu ndani tumezoea sana kuitana WAKUU bila kujali unayemwita ni kweli ni Mkuu au la!
Humu ndani kuna wazee na wajukuu zao, wazazi na watoto wao, watu...
Wana forum habari za leo tena..
Kuna usemi siku hizi kuwa wanalalamika maisha magumu ni wale waliokuwa wapiga dili na sasa hv hizo njia zao za dili zimebanwa ndio maana wanalalamika.
Nina...
Hivi wandugu kodi anayozungumzia Mh. Lukuvi ni ipi ni ya Majengo au Ardhi kwa maana tarehe ndio zimeshafikia mwisho msaada wa kujua ni ipi kati ya hizo mbili mheshimiwa alisisitiza tulipe na...
Hili jambo media hazisemi Ila limeacha majonzi na vilio.
Nimepita nyumba moja nzuri na kubwa ambayo IPO zinapoishia m 121.5 , yaani nyumba hii ndio IPO ukingoni, mwenye nyymba ni mama mjane, na...
Baada ya watumishi wapatao 9932 kutumbuliwa kutokana na kuwa na vyeti fake, taarifa za uhakika tulizozipaa kutokana na uchunguzi tuliofanya zinaonyesha kuwa watumishinwengi kwenye ngazi ya...
Wadau poleni na majukumu...
Nimejaribu kufanya utafiti ili niweze kujua ubora wa haya magari mawili,,,
Ninaomba ambao wanayamiliki au wenye upeo nao wanisaidie nifanye uchaguzi sahihi...
Walaji wa chips mitaani kazi mnayo! Kwa hiki nilichokiona kwa kweli ni kazi kweli kweli, kumbe hawa vijana wakimaliza kuuza chips wanaoshea viatu kwenye vyombo vya kupikia chips? Wauza chips na...
Umofia kwako mama Tibaijuka,nakumbuka ulisisitiza sheria ya kuendeleza makazi ambayo inasema mtu asipoendeleza shamba ndani ya miaka mi3 basi huyo mtu atanyang'anywa shamba/kiwanja!
:focus:
Kuna...
Wiki kama tatu hivi zilizopita alitokea mganga mmoja wa tiba za asili pale Mwenge. Akatukuta vijana kibao tumekaa chimbo pale uwanja wa vinyago pembeni ya jengo la bodi ya mikopo, wengine...
Kuna jamaa wangu alikuwa ananiadisia kipindi ana ajira nzuli alikuwa ana moyo wa kusaidia ndugu jamaa na marafiki pale wanapomueleza matatizo wanayopitiaaa. .....
Leo hii baada ya mktaba...
Mahakama Kuu Kanda ya Bukoba imewahukumu watu watano adhabu ya kunyongwa mpaka kufa kutoka wilaya ya Karagwe baada ya kupatikana na hatia ya kuua katika matukio mawili yaliyotokea mwaka 2013 na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.