stephot
JF-Expert Member
- Mar 1, 2012
- 16,845
- 25,345
Wadau naomba msaada kwa anayejua taratibu halali za kulipia bima ya gari thirdparty.Ninajua kuwa unaweza lipa kupitia mawakala lakini kipindi cha hapa kati nilisikia tetesi kuwa unaweza lipa na malipo yako yasitambulike unapoingia kwenye mfumo wa ukaguzi.