Stream line
JF-Expert Member
- Apr 22, 2015
- 393
- 239
mama yangu na ww ni mzazi. najua ww si kama mm. ww mama yetu unachokijifungu cha pesa japo kidogo lakini kinaweza kumsaidie huyu ama yule chakula.
Kilichonisukuma kusema haya ni hili nililolisikia kwenye taarifa ya habari TBC1 saa 2 usiku wa tarehe 26/5/2017. NI VIFO VYA WANA NDOA HUKO MWANZA. kifo chao cha mme kuua mke kwa bastora. Mmoja wa watoto wake kaelezea vizuri chanzo. Kwa ss wanandoa hayo magomvi yapo. Lakini uvumilivu kwa wanandoa hawa haukuwepo. Hivyo wakaSAHAU KABISA kuwa kuna WATOTO wanao wategemea. Wakazitukuza nafsi zao wakasahau majukumu yao kama wazazi.
Mama yetu nimelia mno nikawaza haraka haraka nifanye nini? Basi nikaona ni bora nikuandike uzi huu. nikuombe UWAFADHILI wale watoto. Bado ni mabinti wadogo. Fikiria shule yao mama, fikiria ma kunguru yatakayo wakodorea macho na kuanza kiwaZALISHA WATOTO ovyo. Mama yetu niko chini ya miguu yako nakuomba uwasaidie hao watoto. Asante mama. Iko siku naweza kukusaidia kutoa mchango nwangu.