Mzee Chapuuka
Member
- Apr 21, 2017
- 97
- 243
Kichwa cha habari chahusika
Kikukweli walinzi wa pale Geti kuu la kuingia hospital ya Bugando wanakera mno hata kama wanafuata taratibu zilizowekwa na hospital
Kimsingi hospital ni sehemu ya kupeana faraja sasa linapokuja suala la kukaguana ovyo ovyo kana kwamba mtu amebeba madawa ya kulevya linakera Sana
Bugando ukienda umebeba bag unapekuliwa,Bugando mwanamke alievaa suruali au kunyoa kiduku haruhusiwi kuingia hospital
Sasa najiuliza ulinzi huu unatokana na nn wakati ni hospital ya shirika la kidini kiukweli Wanaboa na ukaguzi wao utadhani uwanja wa ndege bhana
Uongozi wa BMC taarifa iwafikie