Amperius kajuna
Member
- Apr 22, 2017
- 26
- 3
Jamani naombwa kufahamishwa kitu hiki, hivi kwa Tanzania unaweza mwanajeshi kuacha jeshi kuna sheria inayomruhusu?
Mwanajeshi naye ni mtumishi kama wengine anaweza kuacha tu akiwa na sababu maalum zinazomfanya kuacha na taratibu zitafuatwa mkuuJamani naombwa kufahamishwa kitu hiki, hivi kwa Tanzania unaweza mwanajeshi kuacha jeshi kuna sheria inayomruhusu?