Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hivi kweli mmekoswa cha kuonesha mpaka mtuoneshe mazingaombwe au ni kutuaminisha kuwa majeshi yetu ni uchawi tu Inaumiza saana kiasi furan kuona kodi za wananchi zinatumika kiivyo
0 Reactions
2 Replies
831 Views
Serikali ya Zanzibar SMZ imesema itaendeleza ushirikiano uliopo kati yake na mabalozi wa Tanzania waliopo nchi za kiarabu ili kuona wafanyakazi kutoka Zanzibar walioko huko wanafanya kazi katika...
0 Reactions
1 Replies
879 Views
Jeshi la polisi mkoani hapa linamshikilia, mkazi wa kijiji cha Mamvisi Gairo kwa tuhuma za kumuua mke wake kwa kumpiga ngumi na mateke sehemu mbalimbali za mwili na kusababisha kifo chake...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu salama! Ishu hii imekuwa ikinikera sana kwani si ya kiungwana hata kidogo. Sisi watanzania tulio wengi tunatoka kwenye familia masikini , na ndio maana tunapofika vyuo vikuu tunaomba...
10 Reactions
37 Replies
3K Views
Habar za saiz wana jf? Kwanza poleni na majukumu ya kazi. Naomba niende moja kwa moja kwenye ombi langu Nahitaji msaada wa haraka ili kuokoa maisha ya baba yangu mzazi ambaye anaishi Mbeya...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
kwakweli mimi naona giza tu... Mkulu tazama pande zote.... Sisi wengine tumekosa nini.. Kweli hii miaka mitano mafisadi watakoma...ila na sisi wenye kipatapo cha chini cha moto tutakipata. Mkulu...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Kila nikifikiria ile ripoti ya Makontena ya Mchanga iliyowasilishwa juzi hata matangazo yao siyaelewi!! Hili ni moja ya tangazo linalovuma kwenye baadhi ya vyombo vya habari likieleza kwamba nchi...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
kitilam May 24 Mwl Nyerere alituongoza kudai uhuru wa kisiasa. Rais @MagufuliJP ameanzisha mapambano ya kudai uhuru wa kiuchumi. Tuwe naye bega kwa bega View details · Haya ndo maneno ya Kitila...
0 Reactions
3 Replies
707 Views
Naomba nitangulie kusema kwamba nina ruhusa ya mhusika kuiweka hii PM hapa kwa faida ya wengi... Na tumekubaliana niandike yale ambayo hayata vujisha mawasiliano yetu kwa ujumla wake. PM hii...
28 Reactions
99 Replies
10K Views
The First Moon of the lunar month (Mwezi Mwandamo) can be expected to be observed today, though it can be challenging. The first picture shows where a very thin crescent Moon can be expected to...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kama ilivyo taarifa ya Tume ya uchunguzi wa mambo ya madini ya miaka iliyopita ambayo ukigoogle utapata angalau muhutasari wenye kurasa kama 30 hivi. Napenda kujua hii tunaipata wapi ili kama...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwa utafiti huu serikali haina haja ya kufumba macho. Wakuu salama. Katika gazeti la Mwananchi tar 26-may-2017 ukurasa wa pili, kuna habari isemayo: HIKI NDICHO KIINI CHA MAUAJI PWANI. katika...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Wanajf natumai hamjambo! Kila ukipita kwenye mitandao ya kijamii mbalimbali utakutana na porojo na ushabiki mbalimbali unaohusiana na mchanga wa dhahabu. Mbaya zaidi kuna watu wanashabikia na...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
'Mom, I always told you I'd come back and get my degree.' By Mark Elliot Zuckerberg TGIF- Karen (Kempner),ni daktari wa wagonjwa wenye matatizo ya akili [Psychiatrist] na ni mama yake na Mark...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu habar zenu Kuna ukweli wowote kuhusu ili, umri Wa mtu unaweza kukadiliwa kutokana na jinsi anavyo ongea au kuandika. Hata kama uyo mtu humfahamu au hujawai kumuona. Ajitokeze member...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Hivi katika sheria za barabarani hakuna kibao kinachoonyesha hapa ni makaxi ya watu, maana hii kauli imekuwa kero kwa madereva, mtu barabara hata hujawahi kupita, trafic wanajificha mahali, hakuna...
0 Reactions
7 Replies
9K Views
Wafanyakazi hawa wamekuwa miungu watu,maana hata safari zilizolipiwa kila kitu na wafadhili bado wanasumbua sana. kibali kinatoka mpaka saa chache kabla ya safari wakati wanadai ufanye...
0 Reactions
2 Replies
924 Views
Inakuwaje jamani mtu mnamzungusha kumpa loss report mnataka mpewe rushwa ya elf 5 wakati gharama ni sh 500? Hamuombi ila mnamzungusha hata masaa 4 mpka ajiongeze atoe kidogo na akitoa tu dkk 5...
1 Reactions
52 Replies
5K Views
Kiwango cha mfumuko wa bei nchini kimepanda kwa wastani wa 1.4 kutoka asilimia 5 ilivyokuwa mwezi Februari hadi asilimia 6.4 kwa mujibu wa taarifa kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu nchini (NBS)...
0 Reactions
53 Replies
8K Views
Waziri Mkuu wa zamani ambae pia ni Mjumbe wa kamati kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo Mh. Edward Lowasa leo ijumaa alikwenda kumjulia hali mwanasiasa mkongwe ambae pia aliwahi kuwa meya wa...
5 Reactions
27 Replies
9K Views
Back
Top Bottom