Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 92,421
- 112,074
Hivi kweli booking ya siku 21 kwa maisha ya kibongo kama siyo fursa kwa madalali ni nini?.
Wewe inaelekea umemuelewa mleta hoja ndio maana ukajiunga nae ,hebu tueleweshe na sisi hii thread ina mantiki yepi?Mie walinikera kuna siku nimelipia elfu kumi na tano ofisini ya mzigo halafu kufika uwanjani wakakomalia nilipie tena mzigo wakati mzigo wenyewe haukuwa hata na kilo 20, walinikera, niliwahama