Kuna Mtu aliyepatwa na Ukakasi wa hili jambo kama Mimi?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
59,949
119,214
Ni kwanini karibia Wageni waalikwa wengi wakiwa IKULU kuhudhuria hafla fulani muda mwingi tu wanakuwa wamenuna, sura zao zimejaa uwoga na hata upigaji wao wa makofi katika jambo fulani huwa ni kama wanajilazimisha tu?

Asilimia kubwa huwa wanakuwa uncomfortable kuwapo pale
je hii hutokana na nini?

Karibuni na nawasilisha.
 
Its true for everybody except Ndalichako... Yule mama anakuwaga amejawa na furaha wakati wote tu! Yani ndani kwako ukiwa na mke kama Prof Ndalichako, hakuna mtu atakufa kwa presha na mawazo...
 
Utakuwa na furaha gani wakati unajua unaweza kutumbuliwa sekunde yoyote? Unadhani utaweza kuwa na amani moyoni kama unajua kuna mtu alitumbuliwa kwenye mkutano wa hadhara akashituka hadi kufa?
 
Mtu anaongea kwa ukali na hasira juu, sasa ucheke au utabasamu hujipendi. Tulia jitafakari na ujiweke tayari ili siku ukitumbuliwa moyo na roho viwe tayari.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom