Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
Kaagizwa na Lowasa kuandika
Kwa mfano hii comment ina worth kiasi gani cha fedha pale Lumumba mkuu??Lakini kura zao hamzipati ng'o! Waislamu wanapigia CUF/Lipumba piga ua galagaza kama vile Wachaga wanavyopigia chadema!