Bait Al Ajaib laanza kuporomoka

aleesha

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
792
1,144
Bait Al Ajaib ni moja ya alama ya utambulisho kuwa hapa ni Zanzibar
Ni moja katika vivutio vikubwa vya utalii Zanzibar
Ni jengo lenye historia kubwa linaachwa likipoteza haiba yake,
Sasa sijui litaachwa mpaka liporomoke kabisa? Labda historia ya mwarabu itaweza kufutika Zanzibar?
NB: Uongozi si kiburi na majigambo bila ya Kusimama HAKI NA USAWA mtaendelea kucheza karata kwenye branch za chama huku nchi inadidimia
 

Attachments

  • image.jpeg
    image.jpeg
    47.7 KB · Views: 27
Peking wanachofanya majumba yao wanayabomoa wanalijenga upya kwa ramani na muonekano huo huo
 
Mkuu jengo lenyewe umeliona? Huo mfuko mmoja sijui una thamani gani lakini kama nii cement ninayoijua, basi nakushauri chukua hiyo hela nenda kampe aliyefunga swaumu asiye na uwezo.
Ni mwanzo tu, watajitokeza wengine wa kuniunga mkono, itapatikana saruji nyingi zaidi na vifaa vingine Vya ujenzi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom