nanga mstafu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2016
- 381
- 649
Hivi hawa jamaa wana kazi gani? Wapo bize kufuatilia vitu vidogo vidogo kuna skendo au kesi kubwa za ufisadi zimeibuliwa bungeni au wanazijua ila hawachunguzi wala kuchukua hatua, hata hili sakata la mchanga au kwenye migodi yetu au mbuga kuna mazingira ya rushwa kubwa zinafanyika ila wao wapo tu