Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

BAADHI ya wanaume katika Wilaya Bunda mkoani Mara, wamezitelekeza familia zao na kwenda kusikojulikana kutokana na ugumu wa maisha, hususani uhaba wa chakula unaoikabili wilaya. Hayo yalielezwa...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Hakika huyu mwandishi wa habari aliona mbali. WIKI iliyopita, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, alipata ujasiri wa kuhoji hadharani uadilifu wa Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalumu ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Anaandika Wakili Msomi John Malya Commissioner wa Police nchini Tanzania, aliepata kushika wadhifa wa Inspekta Jenerali wa Polisi kwa kipindi kifupi kuliko watangulizi wake wa hivi karibuni...
25 Reactions
93 Replies
11K Views
Heshima kwa kila awaye! Nimekuwa nikifuatilia hizi kauli za watu kusema wanashauri,Swali je wanafuata taratibu katika kushauri,Mfano kama kweli una nia ya dhati ya kumshauri MTU kwa jambo ambalo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wanaJF KAGERA: Watu 3 wamefariki baada ya kuzama wakiwa wanagoelea na kuchota maji kwenye dimbwi lililopo jirani na Seminari ya Ntungamo mjini Bukoba leo. Mpaka sasa bado miili ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kama kichwa cha somo kinavyoonekana ni kuwa kwa takriban wiki mbili kila nikifungua hiyo website yao kila nikijaribu kuifungua kipengere cha job opportunities kinakufunga kwa kuonyesha list ya...
0 Reactions
1 Replies
938 Views
Au ndo mpo bize kukamata 30 za makosa barabaran?, au mmehamia boda kukamata madini? au mmeenda likizo kitengo cha IT chote? au website yenu wana edit makampuni mengne nyie mmeajiri washika fimbo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hizi ni baadhi ya picha nilizopiga mida hii hapa stand ya mabus ya mkoa wa Mara maarufu kama Bweri Hivi mbona mkoa huu na wilaya hii ya Musoma ambako ni nyumbani Kwa Baba wa Taifa kumesahaulika...
6 Reactions
38 Replies
11K Views
Watanzania tujiulize, miaka yote hii, kutia ndani kipindi ambapo Tanzania na Malawi tulikuwa na uhusano mbaya enzi za Kamuzu Banda, kipindi ambacho wala SADC haikuwapo, hatukuwa na mgogoro na...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Wanawake wawili wilayani Igunga mkoani Tabora wameuawa kikatili kwa kukatwa na mapanga na watu wasiojulikana huku mmoja akikatwa kiganja cha mkono wa kulia. Mtendaji wa Kata ya Tambalale, Salumu...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Bwana Yesu asifiwe! Jambo la 2 tunalojifunza juu ya: “Mambo unayohitaji kuyajua kuhusu ndoto unazoota ili iwe vyepesi kufanikiwa kimaisha” ni hili: “Ndoto ni mlango wa kiroho ndani ya mtu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kuna thread ilianzishwa, ilikuwa ikizungumzia kuhusu ujio wa mabasi ya Dar Lux Bus. Mabasi haya yameshaanza kazi rasmi, mara baada ya kuanza route zao niliamua kutumia usafiri huo to different...
0 Reactions
28 Replies
20K Views
Heshima kubwa na iwe kwenu mabibi na mabwana, waungwana na waheshimiwa sana wa jukwaa hili bora kabisa. Najitokeza mbele yenu, nikihitaji msaada wa vitabu ambavyo nimevitafuta kwa muda mrefu bila...
0 Reactions
0 Replies
832 Views
Inakera sana pale unapopiga simu kwa mtu hasa wa mtadao wa Tigo na Airtel badala ya simu kuita au kuambiwa haipatikani, kumekuwa na tabia ya kuweka matangazo mengi na marefu ambayo hayana umuhimu...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Serikali inafikiria kuunganisha taasisi zote zinazohusika na sekta ya uhifadhi wa wanyamapori nchini kuwa chombo kimoja chenye nguvu kwa lengo la kupunguza gharama za uendeshaji wa taasisi hizo...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Rejea kichwa cha habri hapo juu. Ningependa kujua Mkuu mpya wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro ni nani, nyadhifa alizowahi kushika, mwaka aliozaliwa, mwaka aliojiunga na Jeshi la Polisi n.k...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Aithee Hawa Jamaa Ni Nouma Sana Ni Wez Wa kutupwa Hawa Hawafai Hata Kidogo Yan Nimenunua Salio Toka Tigo pesa Kias Cha Elf 1 wakanitukia Text Zao Za Jaza Ujazwe Kuwa Nimepokea Mb 600 Nitumie...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Huwa nashangaa sana hasa pale ninapowaona Watanzania wakiwa busy sana kupiga picha zao mbalimbali hasa zile za Selfies wakiwa maeneo mazuri mazuri ya mjini au mijini na wengine wakiwa huko Ng'ambo...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Mkazi mmoja wa mtaa wa Buzuruga Mashariki Manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza, Gilbert Ng'wenya, ameokolewa na wasamaria wema baada ya kufungiwa ndani ya chumba na mama yake mzazi kwa muda wa miaka...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom