Kwa wanaonielewa, hivi mineral royalty rate ni ngapi kwa sasa duniani?
Ila kwa kumbukumbu zilizoziona, ni kati ya 2.5% na 5% inategemeana na kiwango cha Gold kwenye mchanga.
Sasa kwa kupewa 4%...
Tahadhari hiyo imetolewa na shirika la chakula na kilimo FAO Ijumaa likisema mlipuko wa maradhi hayo uchukuliwe kwa tahadhari na nchi zinazosafirisha sato zihakikishe zimechukua hatua madhubuti za...
Wakuu, chukueni tahadhari na mtu anayejitambulisha kama Mr. William Mbeya kwenye masuala ya ajira yani "job adverts". Anajifanya kama HR wa BancABC na ana-post kazi kwenye tovuti kama ZoomTanzania...
Balaa la Mungu alipoiumba Sayari ya Mars
Jamani hii kitu ni kweli kwamba eti...
Nashindwa kuelewa hiki ni kioo cha jamii forums au nini?
Nimefanya uchunguzi blog hii hakuna HABARI hata moja...
Wakuu,
Kuna mwana jf alijitokeza humu akiomba wana jf tumsaidie mtaji kidogo aanzishe biashara baada ya kumaliza chuo, kukosa ajira na kushindwa kuanzisha mradi wowote kutokana na kukosa mtaji...
pengine hii ikawa siri kubwa zaidi ambayo matajiri huwa hawaisemi zaidi huwa wanasema ushuhuda tu ilikuwa vipi mpaka wakafanikiwa lakini ukweli kuna elimu kubwa ndani.ya vitabu vilivyoandikwa na...
Wanajf nawatupia huu Uzi kama kutoa tahadhari kwa wale wanaopenda kutumia dawa kwa ajiri ya kuongeza nguvu.
Leo kuna KIJANA mmoja nimemuona KUPITIA EMMANUEL TV dushe lake lilishasimama Siku...
Nafurahi sana ukifika pale hata kama unavuja damu muda huu utasitizwa kwanza nenda ukakate tembo card utafikiri umeenda kufungua akaunti ya crdb ambayo inabidi uwe na elfu 12 na mia 5 ,cha ajabu...
Kufuatia tukio lwa waandishi wa habari kukamatwa na polisi wakiwa wameenda shule ya Lucky Vincent, IGP Mangu amesema sio lengo la polisi kuwakwaza na hayo yaliyofanywa na polisi wa ngazi za chini...
TANZIA.
Familia ya Marehemu Mh. Samuel Sitta, inawatangazia Ndugu, jamaa,na Marafiki imepata Pigo la kuondokewa na Mdogo wa Marehemu Mh.Samuel Sitta, ambaye alikuwa Meya wa mji mdogo wa Urambo...
Jamboni wote wana JF. Nimekuwa nikiwaza sana bila kupata majawabu ndipo nimeona niombe kwenu msaada. Ni kwamba maishani mwangu sijawahi kuona mwanamke yeyote yule aliye na upara kichwani. Hii...
*WANACHAMA 681 KUTOKA UMOJA WA VIJANA WA CCM VYUO NA VYUO VIKUU MKOA WA DAR ES SALAAM WATUNUKIWA VYETI VYA KUHITIMU MASOMO YAO*.
Ni mahafali ya pili ya CCM Vyuo vikuu dar Mgeni rasmi Naibu katibu...
Gari walilokuwa wakisafiria baadhi ya wachezaji na mashabiki wa klabu ya Simba akiwemo nahodha wa kalabu hiyo Jonas Mkude limepinduka maeneo ya Dumila mkoani Morogoro
baada ya tairi ya gari ya...
Kwa hicho Kichwa cha Habari Nisiseme mengi, Nisije Nikajiamshia Dude chonde chonde! Ila mimi kwa hesima na Taadhima sana nilitaka kwa hisani yake! Ikimpendeza, akiona sawa aangalie kama kuna...
Sabalkheri wanaJamii Forums!
Ni Jumapili tulivu kabisa iliyo na Neema kwetu binadamu, kama una siha njema ni Jambo la kumshukuru Mungu.Poleni na Ibada na pia poleni ndugu zangu wa Madhehebu ya...
Rais John Pombe Magufuri leo amewatembelea wagonjwa mbalimbali katika hospitali ya Taifa Muhimbili na kukutana pia na mtoto anayekunywa mafuta na mzee aliyetengeneza Nembo ya Taifa ambao wote kwa...
Habari za jioni wakuu
Naomba niende kwenye mada moja kwa moja.Nakumbuka kipindi cha nyuma,kabla ya habari yoyote haijatoka sisi humu tulikuwa tunazipata tetesi mapema kabisa na mwisho wa Siku...
Mchungaji Gwajima wa kanisa la ufufuo na uzima, amesema ni bora pro Muhonho na wenzake wameondolewa mapema katika wizara ya noshati na madini ili watu wengine wenye uwezo waweze kuongoza wizara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.