Lutsala
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 547
- 223
Heshima kwa kila awaye! Nimekuwa nikifuatilia hizi kauli za watu kusema wanashauri,Swali je wanafuata taratibu katika kushauri,Mfano kama kweli una nia ya dhati ya kumshauri MTU kwa jambo ambalo hata wew utanufaika,Je Ni sahihi kutafuta redio,television au press conferences ili umshauri?ama ni busara kwenda kubisha hod kwake ili mshauriane kwa kuwa wote Mna nia moja?NIMEWAAAAAAAZA. NIKASEMA!!!!!!!!!!!!