gabjhn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 463
- 814
Kama kichwa cha somo kinavyoonekana ni kuwa kwa takriban wiki mbili kila nikifungua hiyo website yao kila nikijaribu kuifungua kipengere cha job opportunities kinakufunga kwa kuonyesha list ya nafasi zilizoorodheshwa ila kila nikiibofya hapo hapo ukurasa unajifunga na kuleta ujumbe kuwa unfortunately internet has stoped. Ila ni kwa muda sasa tatizo limekuwa linaendelea kutokea. Je kutakuwa na tatizo wapi au ni mimi pekee napatwa na tatizo hili? Je nifanyeje kuweza kuifungua hiyo web page?