Tigo Jaza Ujazwe

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Dec 29, 2014
15,267
29,906
Aithee Hawa Jamaa Ni Nouma Sana

Ni Wez Wa kutupwa Hawa Hawafai Hata Kidogo

Yan Nimenunua Salio Toka Tigo pesa Kias Cha Elf 1 wakanitukia Text Zao Za Jaza Ujazwe

Kuwa Nimepokea Mb 600 Nitumie Ndan Ya Siku Tatu Nikasema Sio Mbaya Acha Zitanisukuma

Nikazima Simu zen Nikaweka Simu Chaj ili Mida Mida Nipate kuperuz tukio Hili Limetokea Leo Mida ya Saa Mbili Usiku

Mida Hii Nimewasha Simu Ndio Kwanza Nimeanza Kuperuz Yani Nime Comment Moja Tuu

Naona Text Yao et Ndugu Mteja Umebakiwa Na MB 5

Kaaaaaahhh Aithee Tigo Imenishinda kwa kwer
 
Ujumbe unasema "Jaza Ujazwe"....inawezekana ni zamu yako kuwajaza mkuu. Jipongeze.
 
Ni afadhali wangeacha ile halichachi, mimi pia niliweka vocha ya buku nikapewa dakika 6 nikaona kwa kuwa sikuwa na maongezi marefu nikapiga sim nikitarajia zitatumika dakika walizonipa. Cha ajabu wamenikata salio badala ya kutumia dakika walizonipa
 
Aithee Hawa Jamaa Ni Nouma Sana

Ni Wez Wa kutupwa Hawa Hawafai Hata Kidogo

Yan Nimenunua Salio Toka Tigo pesa Kias Cha Elf 1 wakanitukia Text Zao Za Jaza Ujazwe

Kuwa Nimepokea Mb 600 Nitumie Ndan Ya Siku Tatu Nikasema Sio Mbaya Acha Zitanisukuma

Nikazima Simu zen Nikaweka Simu Chaj ili Mida Mida Nipate kuperuz tukio Hili Limetokea Leo Mida ya Saa Mbili Usiku

Mida Hii Nimewasha Simu Ndio Kwanza Nimeanza Kuperuz Yani Nime Comment Moja Tuu

Naona Text Yao et Ndugu Mteja Umebakiwa Na MB 5

Kaaaaaahhh Aithee Tigo Imenishinda kwa kwer
Angalia kama una Apps nyingi ,nyingine hula sana salio bila mwenyewe kujua na mwishowe ukaona kwamba huja jazwa,wakti tayari ulishajazwa
 
30ceade03c32ecd966091a50108c86ad.jpg
 
Mimi Kaka yenu nimekataa kujazwa na tigo.

Ila waliojazwa wanasema, ukishajazwa unga kifurushi kwanza ila ukisema utumie muda uliojazwa ukiisha ndio uunge kifurushi inakula kwako.

Ila Kwangu kununua vocha ya tigo hadi waache kujaza watu kwanza.
 
Tigo ni nouma,yaan kifurushi hata hujatumia hujakaa sawa,ile unasema utumue mara sms hyo,mara dkk zimebaki 2,mara mb zimebaki 5 na hapo hujatumia kabisa....mie nimeacha kwa kweli kuweka vocha na kujiunga nasubiri watu wanipigie tu!haha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom