Nindo
Member
- Aug 23, 2016
- 71
- 117
Heshima kubwa na iwe kwenu mabibi na mabwana, waungwana na waheshimiwa sana wa jukwaa hili bora kabisa.
Najitokeza mbele yenu, nikihitaji msaada wa vitabu ambavyo nimevitafuta kwa muda mrefu bila mafanikio. Nahitaji kitabu cha THE LAST BANANA, DANCING WITH THE WATU- SHELBY TURKER, IAM LALA-LALA YOUSERF.
Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa matumaini makubwa ya kupata msaada toka kwenu.