Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Raia wanne wa kigeni wachomwa kisu mgahawani Zanzibar MWANANCHI Ushasikia gari imepinduka, wamejeruhiwa watu wawili na masai mmoja? Ndio hii sasa. Katika shambulizi la leo Zanzibar kuna raia...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu, Jana Jumapili Mei 28, 2017, Tanzania iliungana na mataifa mengine kuadhimisha Maadhimisho ya Siku ya Hedhi duniani. Kitaifa maadhimisho hayo yalifanyikia mkoani Dodoma ambapo kimkoa...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Kuna magazeti ya aina mbili. Broadsheet na Tabloid. Magazeti ya broadsheet huwa ni mapana na yana kurasa nyingi. Habari zake huandikwa kwa kina, zinahaririwa na kuthibitishwa uhakika wake. Lugha...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Wakuu habari? Nimekuwa nikitafuta sana kamusi ya kiswahili yenye kutoa maana zaidi ya moja katika kila neno. Kwa lugha ya kingereza kamusi hii inaitwa "thesaurus dictionary". Je, kuna yeyote...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Baada Ya bismillah Rahman Rahiim Sifa zote Njema Anastahiki allahu azzawajallah Ningependa Kuiyusia Nafsi Yangu Nakuwa husieni Kumcha allah tabaaraq Wataallah Leo Tupo katika Swaum Ya tatu...
1 Reactions
0 Replies
703 Views
Wana JF, Ingawa yameandikwa katika Bibilia kuwa Siku za mwisho yatatokea mambo mengi sana pamoja na watu kupenda Pesa zaidi kuliko neno la Mungu, kuliko hata wazazi wao nk. Narudi kwenye hoja...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hua naona mafundi ujenzi wakiwa kwenye ujenzi wowote wakivaa kofia za rangi tofauti kama rangi ya blue .njano .red au nyeupe.. Na mara nyingine labda kuna mradi mkubwa unajengwa sehemu wale...
0 Reactions
23 Replies
9K Views
Hii nchi inavyoenda sio vizuri kiongozi anakuwa anafanya maamuzi upande mmoja tu wakati Waalimu na Wauguzi wametimuliwa kwa vyeti feki na wakatakiwa kurudisha mshahara wa mwezi wa 4. Lakini...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ulimi ni kiungo kimojawapo kwenye milango nane ya fahamu... (inayojulikana na wengi ni mitano) ni kiungo kidogo sana lakini chenye hatari kubwa kama kikitumiwa vibaya lakini chenye manufaa mengi...
12 Reactions
38 Replies
9K Views
IGP Mstaafu Omary Mahita Amesema Jeshi La Polishi Limepoteza Hadhi Yake Huku Askali Wakiwa Hawaogopwi, Amesema Wakati Wakati Wake Hakukuwa Na Kiwango Cha Uhalifu Kilichopo Sasa. Naye IGP Ernest...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Awali ya yote nipende kumpongeza mheshimiwa raisi Magufuli makamu wake Na waziri Mkuu mh Majaliwa kwa jitihada zao za dhati kwenye sakata la makontena ya mchanga.Kwa wazir mwenye dhamana Wa...
3 Reactions
28 Replies
4K Views
Shinyanga. Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga inahitaji tani 12,526 za chakula kunusuru maisha ya watu 111,340 wanaokabiliwa na upungufu wa chakula katika wilaya hiyo. Kwa mujibu wa taarifa...
0 Reactions
1 Replies
872 Views
Nilikuwa naongea na mtu wangu wa ndani,akanimbia kila kosa traffic anapewa 7,000.Ndiyo maana traffic wanapiga faini kwa kwenda mbele.Ninachoofia jamii ikichoka ,moto utakaolipuka kuzima...
8 Reactions
75 Replies
7K Views
Habarini wana JF. Mie huwa sielewi utaratibu unaotumiwa na ofisi mbalimbali za umma, kwa mfano hapa Mwanza nimeona utaratibu huo unatumika mageti ya kuingilia ofisi za Halmashauri ya Jiji la...
16 Reactions
163 Replies
10K Views
Habari zenu wanajamii forum..ndugu zangu hali yangu ni mbaya kiuchumi nikiwa katika wakati huu mgumu wa kusubiri ajira ,nashindwa mpaka kupata mahitaji ya muhimu !.,nimekaa nikafikiria nikaona...
2 Reactions
34 Replies
3K Views
Mi ni mnufaika wa mkopo wa Elimu ya juu toka HESLB na nilimaliza chuo cha umma mwaka 2011 kwa kozi ya miaka mitatu hapa nchini. Tuition fee ilikuwa around 1.2m kwa mwaka, meal na accommodation...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Uamuzi wa aina ya shule mzazi angependa kumpeleka mtoto wake, inatokana na sababu nyingi. Mimi kama mzazi, kwa uelewa wangu, niliamua kumpeleka mwanangu katika shule ya kimataifa ili apate elimu...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu, Katika pitapita zangu za hapa na pale nimebahatika kutambua kitu ambacho nilkuwa sikijui nacho ni kuwa waumini wengi wa dhehebu la wasabato ni watu wa Kanda ya ziwa hasa...
2 Reactions
47 Replies
9K Views
Good things happen to those who make it happen. And vice verse true. So you don't have to worry By Luck dube
4 Reactions
50 Replies
5K Views
Mkazi wa Mahina, jijini Mwanza, aliyefahamika kwa jina moja la Max, anadaiwa kumuua mke wake, Teddy Malulu kwa kumpiga risasi usiku wa kuamkia leo. Baada ya kufanya mauaji hayo, Max naye...
4 Reactions
192 Replies
33K Views
Back
Top Bottom