Suleimani Kova; Serikali kutumia rambirambi kunawakatisha wananchi tamaa

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,569
9,429
milad.png
 
Nakubaliana na Mstaafu Kova, katika hali ya ubinadamu serikali yoyote haiwezi kupangia matumizi yake binafsi michango ya rambirambi ya waliokutwa na majanga. Ni aibu kubwa Serikali Arusha kutumia rambirambi za wanafunzi wa Lucky Vincent kuboresha hospital ya Moun Meru.
 
Umeshalikorogoa! Kova, Kilimanjaro huendi tena!
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Mwongozo wa serikali kutumia rambilambi unatoka kwa mh. Rais kwahiyo msiwalaumu wakuu wamikoa kwahili wao wanafata oda ya mkuu wa nchi.... Toka tetemeko la kagera wahangawali lalamika lakini waliocho ambulia ni kejeri mamaneno yasiyo nastaha ya mkuu wa nchi. Watu wanamajonzi mkuu wa nchi anawakejeri hii nihatari kwahiyo msaliti wa nchi yetu nimkuu wanchi yetu huyu ndo anamaliza nakuvunja moyo wananchi..... Kwakua wachache walimchagua nawakatuingiza tuliowengi kwenye matatizo hatuna budi kuvumilia.
 
Ata mimi naunga mkono..........Sijapenda kitendo ichi cha kikatili. Hawa hawana tofauti na kuwaibia [HASHTAG]#MAITI[/HASHTAG] pindi wapatapo [HASHTAG]#Ajali[/HASHTAG] badala ya kuwasaidia wanawasachi ndio nawaweka [HASHTAG]#kundi[/HASHTAG] ili
 
sasa ikitokea tena majanga ( MUNGU PISHIA MBALI )

WAATHIRIKA WAUNGANE WASAJILI LINE MOJA......TUNARUSHA MICHANGO HUMO.WANAGAWANA KWISHA. AU HATA AKAUNTI BENKI.
 
Back
Top Bottom