Mtemi mpambalioto
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 3,382
- 7,817
Au ndo mpo bize kukamata 30 za makosa barabaran?, au mmehamia boda kukamata madini? au mmeenda likizo kitengo cha IT chote? au website yenu wana edit makampuni mengne nyie mmeajiri washika fimbo na diary tu? khaaaa
au hamjapenda ujio wa SIRRO?
Mweee au mnataka nipige filimbi?????
au hamjapenda ujio wa SIRRO?
Mweee au mnataka nipige filimbi?????