BUKOBA: Watatu wafariki wakiwa wanaogelea na kuchota maji katika dimbwi

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,410
Habari wanaJF

KAGERA: Watu 3 wamefariki baada ya kuzama wakiwa wanagoelea na kuchota maji kwenye dimbwi lililopo jirani na Seminari ya Ntungamo mjini Bukoba leo. Mpaka sasa bado miili ya marehemu hao inatafutwa.
 
Huzuni kubwa mno...Poleni wafiwa na Mungu awapumzishe mahala pema ndugu zetu waliofariki
 
Back
Top Bottom