Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,266
Mkazi mmoja wa mtaa wa Buzuruga Mashariki Manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza, Gilbert Ng'wenya, ameokolewa na wasamaria wema baada ya kufungiwa ndani ya chumba na mama yake mzazi kwa muda wa miaka miwili.
Kitendo cha kuokolewa na wasamaria wema kimevuta hisia za wengi
Taarifa za kufungiwa ndani kwa Ng'wenya zimetolewa na jeshi la polisi na majirani wa nyumba anamoishi ambapo baada ya kuokolewa amepelekwa katika Hospitali ya rufaa ya Bugando kwa ajili ya uchunguzi wa afya yake.
Chanzo: TBC habari