Naombeni CV ya IGP Sirro

Mchochezi

JF-Expert Member
Feb 29, 2012
10,772
7,270
Rejea kichwa cha habri hapo juu.
Ningependa kujua Mkuu mpya wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro ni nani, nyadhifa alizowahi kushika, mwaka aliozaliwa, mwaka aliojiunga na Jeshi la Polisi n.k

Mwenye CV atumwagie jukwaani ili tupate cha kujifunza
 
Huko vyeti sio ishu, mradi Uwe na nidhamu ya hali ya juu basi utapanda sana vyeo mpaka kufikia IGP
 
  • Thanks
Reactions: SDG
mkui uko awa angalii cv wanacho angalia utendaji kaz tu ili kuendana na spid ya mh hapa kazi 2
 
Back
Top Bottom