Askari Ukonga wadaiwa kumuua mfungwa kwa kipigo

Kigogo

JF-Expert Member
Dec 14, 2007
20,508
6,173
Askari wawili wa nyota 3, majina yao ni Sindani na Jafari wanadaiwa kumpiga mpaka kumuua mfungwa anayeitwa Fred wakimtuhumu kuwa anauza madawa..

Hii ni mara ya pili mfungwa anauawa na maaskari wa gereza hili la Ukonga.

Maiti iko mortuary hapa Muhimbili..
 
Askari wawili wa nyota 3 majina yao ni sindani na jafari wamempiga mpaka kumuuwa mfungwa anayeitwa fred wakimtuhumu kuwa anauza madawa..

Hii ni mara ya pili mfungwa anauwawa na maaskari wa gereza, hili la ukonga

Maiti iko motuary hapa muhimbili..

Kuna siku moja hivi nilibahatisha kwa mbali sana kuona mazoezi ya Askari Magereza katika moja ya Kambi zao mahala fulani hivyo kwa nilichokiona katika mazoezi yao halafu na leo unaniambia wamempiga Mfungwa hadi Kufa wala sishangai sana na ningeshangaa pia kusikia kuwa huyo Mfungwa alipigwa halafu mpaka sasa bado anapumua au tupo nae duniani.
 
Wanaficha ushahidi... ukute walikua wanajua km ni muuzaji na ukute ndo walikua wakihongwa pesa hizo kuwaacha wafungwa wafanye watakayo... kimenuka ndo walikua wanamnyamazisha kiana... la.kumpiga litageuzwa geuzwa waonekane hawana hatia...!!!!
 
Wanaokwenda jela wengi wao ni maskini asilimia kubwa, I wonder hayo madawa alikuwa anamuuzia nan huko jela na wanatoa wapi fedha za kununua dawa hizo! Tupe source ya hii habari
 
hiyo sababu haina mashiko maana hawana haki ya kuua hata kama mfungwa amekutwa na madawa ya kulevya hao askari wanatakiwa kujibu mashtaka ya mauaji kama kweli Tanzania kuna haki sawa kama katiba inavyosema tofauti na hapo wahuni tu ndio wameshika nchi

Yawezekana pengine na huyo Mfungwa labda alishahukumiwa Kufa hivyo na Wao wakaona wamuwahishe.
 
Askari wawili wa nyota 3, majina yao ni Sindani na Jafari wanadaiwa kumpiga mpaka kumuua mfungwa anayeitwa Fred wakimtuhumu kuwa anauza madawa..

Hii ni mara ya pili mfungwa anauawa na maaskari wa gereza hili la Ukonga.

Maiti iko mortuary hapa Muhimbili..
huyo mfungwa anaitwa fred nan asije kua ndugu yetu ?
 
Huyu Sindani ni mara ya pili anauwa mfungwa.. Na lile kuu la gereza linakuna kuna, korodani tu hata hatua halichukui.. Huyo Jafari anajifanya mswalihili kumbe habithi wa, kutupwa lina ukatili sana hili...
 
Back
Top Bottom