Msichana wa miaka 21 achoma nyumba na kuhatarisha maisha ya watu 7 kwa wivu wa mapenzi

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,292
Jeshi la Polisi mkoani Singida linamshikilia msichana wa miaka 21 kwa kuchoma nyumba moto na kuhatarisha maisha ya wapangaji zaidi ya saba kwa kile kinachodaiwa kuwa ni wivu wa mapenzi.

18813334_1227657880678517_7150548825310629886_n.jpg


Chanzo: ITV
 
Back
Top Bottom