Utafiti: Wilaya zinazoongoza kutoa madokta(PhD) na maprofesa Tanzania

Kifaru86

JF-Expert Member
Apr 22, 2017
1,734
3,810
Habari za humu ndani siku ya leo katika pitapita zangu nikakutana na makala inayoelezea wilaya ambazo zinazoongoza kutoa maprofesa na madokta(PhD) Tanzania.

1. Wilaya ya UKEREWE mkoani Mwanza.

2. Wilaya ya BUKOBA mkoani Kagera

3. Wilaya ya SIKONGE mkoani Tabora.

4. Wilaya ya MWANGA mkoani Kilimanjaro

5. Wilaya ya RUGWE mkoani Mbeya

6. Wilaya ya SERENGETI mkoani Mara.

7. Wilaya ya HAI mkoani Kilimanjaro.

8. Wilaya ya MULEBA mkoani Kagera.

9. Wilaya ya KYELA mkoani Mbeya.

10. Wilaya ya SAME mkoani Kilimanjaro.

Hizi ni tafiti zimefanywa na wataalamu kutoka kwenye nakala nilikuwa ninaisoma ya shirika lisilokuwa la kiserikali
 
habari za humu ndani siku ya leo katika pitapita zangu nikakutana na makala inayoelezea wilaya ambazo zinazoongoza kutoa ma profesa wengi na ma doctor tanzania.......

1.wilaya ya UKEREWE mkoani mwanza.

2.wilaya ya BUKOBA mkoani kagera

3.wilaya ya SIKONGE mkoani tabora.

4.wilaya ya MWANGA mkoani kilimanjaro

5.wilaya ya RUGWE mkoani mbeya

6.wilaya ya SERENGETI mkoani mara.

7.wilaya ya HAI mkoani kilimanjaro.

8.wilaya ya MULEBA mkoani kagera.

9.wilaya ya KYELA mkoani mbeya.

10.wilaya ya SAME mkoani kilimanjaro.

Hizi ni tafiti zimefanywa na wataalamu kutoka kwenye nakala nilikuwa ninaisoma ya shirika lisilokuwa la kiserikali
Hivi wilaya sikonge si ndio ile wanaotokea akina profesa lipumba, kapuya, dk kafumu, dk kigwangalaa aisee tabora mpo juu kumbe kuliko mbeya na kilimanjaro
 
Habari za humu ndani siku ya leo katika pitapita zangu nikakutana na makala inayoelezea wilaya ambazo zinazoongoza kutoa maprofesa na madokta(PhD) Tanzania.

1. Wilaya ya UKEREWE mkoani Mwanza.

2. Wilaya ya BUKOBA mkoani Kagera

3. Wilaya ya SIKONGE mkoani Tabora.

4. Wilaya ya MWANGA mkoani Kilimanjaro

5. Wilaya ya RUGWE mkoani Mbeya

6. Wilaya ya SERENGETI mkoani Mara.

7. Wilaya ya HAI mkoani Kilimanjaro.

8. Wilaya ya MULEBA mkoani Kagera.

9. Wilaya ya KYELA mkoani Mbeya.

10. Wilaya ya SAME mkoani Kilimanjaro.

Hizi ni tafiti zimefanywa na wataalamu kutoka kwenye nakala nilikuwa ninaisoma ya shirika lisilokuwa la kiserikali

Hizo ni wilaya masikini sana hapa Tanzania
 
Wilaya ya Karagwe
 
Back
Top Bottom