Je, viongozi wetu huwa wanakuja humu kuangalia tunawaongeleaje?

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
43,394
81,235
Hivi viongozi mbali mbali wa serikali, upinzani, dini ( wa juu, wenye maamuzi) huwa wanaingia JF na kusoma "what do they say about us"
 
unamsema gwajma, au mzee wa bapa aliyetabiri watu wote wanaomsema eti anatumia nyagi, watakufa kabla ya machi 17 nabaki na viulizo, au freedom fighter lissu ambae hajui freedom fighter never win!
 
Mi najiuliza tu,hivi huyu jamaa ''STEPHEN WASIRA'' bado tu haamini kama ameangushwa na mbunge wa KIKE??
Naye asome hapa ili ajue kwamba huku mtaani tunamshangaa....
NB: Wale wanyama kule hifadhini GOMBE wanamsaka kiongozi wao...MZEE RUDI KUNDINI!
 
Back
Top Bottom