Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,657
- 20,940
Hivi kuna maduka unaweza enda na kukopa vitu kama hivyo? Maana mtu unaweza kuwa unatamani uwe na tv Uhd lakini kutoa 2m cash ni maumivu. Au ukatamani friji ya 1m lakini huwezi lipa cash sababu unaweza kula nyasi. Tuambiane kama kuna hayo maduka.