Lugombo Nsesi
Senior Member
- Jun 16, 2016
- 126
- 149
Nimeamua kuandika haya ili kukumbushana machache yanayoendelea kwa sasa.
Kwanza nawatakia waislamu wote mfungo mwema wa Mwezi mtukufu wa ramadhani, ni pongezi kwa kila aliyefunga.
Ila katika hilo, naishangaa Sana serikali kwa kutojali maana ya mwezi mtukufu ni nini kwa sababu ifuatayo!!
Kumeibuka baadhi ya watu kuuchafua uislam na waislam wote kwa kupost picha chafu na maneno machafu juu ya mtume Mohammad bila kujali kwamba tupo kwenye mwezi mtukufu.
Kila mtu ni shahidi na bila Shaka mlishaona na kusoma ujumbe huo.
Swali langu:
1. Je, huu sio uchochezi wa kidini?
2. Sheria ya mitandao ni kwajiri ya nani Kama sio kwa hawa wachochezi?
3. Serikali inataka waislam wamue cha kufanya, jamani Ramadhani ni kwa Amani sio malumbano.
Ninaitaka serikali iwatafute wote wanaoleta upuuzi mitandaoni, lasivyo ituambie sheria ya mitandao ni kwa viongozi tuu, na huku kwingine ni watu watukane.
Wakuu naomba kutoa hoja ila matusi hayaruhusiwi plzzz...