Mchakato wa vitambulisho vya taifa unaendelea vipi?

Lawrichie

JF-Expert Member
Aug 27, 2013
787
2,202
Wasalaam!
Ni muda sasa sijasikia chochote kuhusu VITAMBULISHO VYA TAIFA sijui vimefikia wapi ndugu zangu, au nyie mlishapata...??? Mwenye taarifa, uelewa au ufafanuzi wowote tafadhari.
NAWASILISHA.
 
Mkuu mara ya mwisho mimi nilisikia wapo Arusha kuna jamaa yangu alikuwa anafanya kazi huko...Sasa hivi sijui wamefikia wapi ila kazi wanafanya
 
Mkuu mara ya mwisho mimi nilisikia wapo Arusha kuna jamaa yangu alikuwa anafanya kazi huko...Sasa hivi sijui wamefikia wapi ila kazi wanafanya
Mkuu mimi naishi Arusha lakini sijawahi kusikia chochote...
 
Vitambulisho vitambulishooo... una Passport, Kadi ya kura, Leseni, Kadi ya ATM, Kitambulisho cha kazi, bado unataka Kitambulisho cha taifa?
 
K
Labda huko Arusha mjini hawajafika kwa maana jamaa yupo Arumeru
Ki wilaya mbona afisa wa nida wapo! Sema hili zoezi linachangamoto zake i.e katika wilaya ya meatu hawatoi sapot yeyote ilikufanikisha zoezi hili la vitambulisho vya taifa... Sehem zote kuna changamoto yote ni kwasababu bajet yao haijapita n watu hushindwa kufanya kazi kwa wakati.. Lakini sehem baadhi katika wilaya zoezi linaendelea hata huku meatu linaenda japo kwa changamoto nyingi. Hope soon watarekebisha na zoez kukaa vizur ila town sio rahisi na sijawah kusikia wakitangazia kuwa kuna event yeyote hata ya msiba... Jaribu kumtafuta mwenyekit wako atakupa details vizuri wamefikia wapi maana yeye ni moja ya mjumbe wa kuandikisha katika kila mtaa/kitongoji
 
Back
Top Bottom