Jindal Singh
JF-Expert Member
- Sep 9, 2015
- 1,857
- 1,538
Wanaoleta nyuzi za kiusalama huwa wapo sampuli kama 3 hivi.
1. Mwanachama wa chama cha kisiasa(wandani kabisa, yaani anaijua itikadi vizuri,huwa ant gov)
2. Mwanausalama mwenyewe (hii ni kwa ajiri ya sababu yake mwenyewe)
3. Hawa wenzangu na mie tuliopata kajielimu kidogo cha chuo kisha tukawa addicted na spy film na tukajiingiza katika maisha ya kuigiza. Sasa hapa ndio kwenye kazi, vijana wanapokuwa na hamu ya maisha halisi alafu njia ya kutokea inapokuwa hakuna. Unakuta mtu analeta uzi ili apate mawili matatu.
Angalizo
Kuwa katika kitengo cha ujasusi sio big deal kwamba mtu ujisikie vibaya eti kwa sababu haupo katika kitengo fulani chenye nafuu ya kimaisha.Muda mwengine utakuta mtu anawivu anaposikia kuwa mtu fulani ni mtu system na mda mwengine anapomjua mtu wa system basi anatamani atakumshika mkono au kutaka kumsalimia kwa heshima na unyenyekevu. Vitengo vya siri katika nchi vina uzuri wake na ubaya wake ila 75% ni uzuri katika mataifa ambayo hakuna mikikimiki mfano kama mataifa machanga, na katika mataifa ngingilingingili 25% bata, mfano wewe ni mwizi wa ng'ombe alafu unatumwa ukaibe ng'ombe kwa wakulya, unataraji kitugani kama si tahadhari ya namna yake au wewe ni mwizi wa urojo alafu watumwa ukaibe pemba, nadhani ukijielea vizuri unaweza pewa bila kuiba. Sasa unakuta mtu anataka kazi ya usalama wa taifa ili apata gari nzuri, nyumba nzuri,wanawake wazuri, heshima ubabe mtaani, kutanua barabarani kama kuna foleni, awe na bastola kiunoni na awe kipaumbele cha kwanza katika kila huduma, yaani akienda polisi mdogo wake akikamatwa aseme ''mtoeni mtu fulani''. Rizika na maisha ukiwa na gari na nyumba na watoto na mke mzuri usiombe balaa, kazi ya kitengo cha siri hawapewi watu wenye tamaa.