TANZIA: Mwanafunzi wa IFM mwaka wa tatu afariki Dunia

kisiki kizito

JF-Expert Member
Jul 3, 2015
676
858
HABARI ZENU WANA NDUGU:


SERIKALI YA WANAFUNZI IFMSO INASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA RAFIKI YETU/NDUGU YETU JANETH KIWALE WA ACCOUNTS MWAKA WA TATU. AMEFARIKI SIKU YA LEO trh 18/05 MAJIRA YA SAA TATU USIKU AKIWA ANASUMBULIWA NA MALARIA HOSPITALI YA BOCHI.

TARATIBU YA MAZISHI ZITAFANYIKA NYUMBANI KWAO KIMARA KIBO/ROMBO.

KWA UPANDE WA WANAFUNZI WA IFM, KUNA KAMATI AMBAYO IMEUNDWA, IPO KAMA IFUTAVYO;

•RAISI WA CHUO CHA IFM ( MR.KILONZO)

•MWENYEKITI WA KAMATI (NYARWELA MECHIADES, BACC3)

•KATIBU WA KAMATI ( MTAKI AGNES, BSP2)

•MWEKA HAZINA ( FARAJA NGURE, BBF3B & IRENE DAVID, BBF 3)

WANAKAMATI WENGINE

• MOSHI DAYANA ( BTX2 )
•HAPPY MSUYA ( BACC3)
•MILKA LEONARD ( BACC3)
• GILBERT MASAWE (BSP3)
•GERALD NYAUNGO
• KYBAMBA ABUBAKARI
• MATRON SOPHIE ( UNIVERSITY HOSTEL KINONDONI)
•DICKSON MAPANDE
•MEKKY NYARWELA

KWA MICHANGO YOYOTE, ITAWAKILISHWA KWA WAHAZINI
>>>FARAJA NGURE (0716 053575 tigopesa)
>>> IRENE DAVID MUYENJWA ( 0768 500357 )

NB: MICHANGO YOTE YA WATU WATAKAOFIKA NYUMBANI KWA MAREHEMU, ITAWAKILISHWA KWA WENYE KAMATI.

KWA MA-CR's WA COURSE ZOTE, MICHANGO YOYOTE ITAKAYOCHANGWA MADARASANI, IFIKISHWA IFMSO KWA WAZIRI WA FEDHA.

MAJUKUMU YETU SISI KAMA WANA-IFM (kila mwanafunzi)

>>KUNUNUA JENEZA
>>SANDA
>>MAUA & MASHADA
>> KULIPIA GARI LA KUBEBEA MAITI.

TUNAWAOMBA WATU WOTE TUSHIRIKIANE KWENYE SWALA ZIMA LA MICHANGO ILI TUWEZE KUFANIKISHA SWALA LA KUUPUMISHA MWILI WA NDUGU YETU SALAMA.

KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NA RAISI WA IFMSO MR.KILONZO (0714 119157)
Tuungane kwa pamoja katika msiba huu ni wetu sote
0feaca4a618cc433c49874fe11fd4d2d.jpg
 
Back
Top Bottom