Francis12
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 7,533
- 22,278
Haya matukio ya ukamataji wa vijana wanaokosoa serikali mitandaoni inalichafua Jeshi la Polisi na Raisi wa nchi yetu! Nani anawatuma hawa wakamataji?
Tunaacha kuwakamata wahalifu wanauawa raia na kupora mali Tunahangaika kukimbizana vijana ambaye niwahisi wanakosoa serikali saa 7 usiku mnaenda kumkamata kijana ambaye amemkosoa raisi? .
Huyu huyu ambaye mlifungulia kesi ya uchochezi mkashindwa mahakamani bado mnahangaika naye? !! Hivi sisi tuna tatizo gani? Mbona hizo nguvu hawazitumii kuwaletea wananchi maendeleo? ??!!
Tanzania ya Vi wonder.