Habari zenu ndugu zangu wanajf! Naomba niende moja kwa moja kwenye mada yenyewe.
Ukweli ni kwamba, Mnamo tarehe 13/10/2014 nilipotelewa na Bag langu ndani ya basi la Abood. Nilikua natokea moro...
Hili ni swali la changamoto kuhusu ndugu zetu hawa Wakristu wa Madhehebu ya Kipentekoste maarufu kama "Walokole". Ikumbukwe kuwa Ulokole kwa hapa Tanzania ulishika kasi sana miaka ya '80 na...
Askari wa Jeshi la Polisi, Kituo cha Kigamboni wanadaiwa kumuua kwa kumpiga risasi tumboni, Mwanafunzi wa chuo cha Uvuvi Mbegani, Bagamoyo Bonaventure Kimali (25) wakimtuhumu kuwa ni jambazi...
Mada tajwa hapo juu yahusika.
Wengi wetu tumekuwa tukitamani sana kuwa na maisha mazuri kupitia siasa huku ukizingatia kwamba ukiwa mwanasiasa bora halafu ukapata 'zali' ,unakuwa na maisha mazuri...
Katika kufanya uchunguzi nimegundua ni kweli "we are poor because we are poor" pia nimeamini maskini akili hatuna kabisa.
Leo ukimuuliza mtu serikali imekusaidia nini? Anakujibu hii serikali...
Naona vita imekua kubwa , jana Accacia walifanya Press , serikalii nayo baada ya Report ya kwanza sasa inaajiandaa kutuletea Report ya Pili.
Binafsi naona ni uwendawazimu kuendelea kuwaumiza...
Kama ilivyo kwa Trafiki jijini Dar es Salaam ambao wamejipambanua na Mashine za EFD ambapo kila trafiki barabarani anayo ili kuwapa Jamba jamba madereva wakorofi waliodhamiria kwa makusudi...
Salaam wana JF
Mada tajwa yahusika
Wakati serikali ya awamu ya tano ikiongozwa na rais Magufuli ilipoingia madarakani iliingia na Sera ya kubana matumizi
Akaanza Kwa kuondoa watumishi hewa
Akaja...
Kampuni ya UDART maarufu kama Mabasi ya Mwendokasi ndiyo mmegoma kabisa kwa Abiria wa Kimara Baruti??
Mbunge Mh Kubenea unajua tatizo la wanainchi wako lakini?? Kuhusu kituo cha Kimara Baruti...
LUKUVI -
“Utakuta mtu anamiliki ekari 30 mjini, zote hizo za nini, utafika wakati tutawazuia kuuza maeneo hayo kwa sababu wanaiibia Serikali,” alisema Lukuvi.
LUKUVI ATANGAZA KITANZI KWA...
Hapa kwetu Tz napo palikua na maneno ya namna hiyo kwa bwana mmoja ambae inasemekana mamlaka kuu waliamua kufanya hivyo kutokana na sababu za 'kikaunda suti'.Napo jeneza lilikuja likazikwa bila...
Huko same kilimanjaro wakazi wake wanatazamia kumuona waziri wa ardhi ili kujua hatima ya ardhi yao iliyochukuliwa kwa ajili ya kupisha mradi mkubwa wa umeme tangu mwaka jana.
Kati ya mambo yaliyopigiwa upatu sana mwanzoni mwa serikali ya awamu hii ni kuwepo kwa ada elekezi kwenye shule binafsi za msingi na sekondari.
Hatima ya hili suala imenipita au bado mchakato...
Wakuu, niliisha wahi kuposti ombi TCRA hapa hapa JF kuwaomba wafikirie kugawa masafa ya radio kwa FM makundi mawili. 1-kitaifa na 2-kimkoa au eneo dogo. Hii inapunguza usumbufu wa kila mkoa kwa...
Habari zenu wana jamvi,
Kuna tabia inakera sana utakuta umetoka lunch au dina na watu unaofahamiana nayo. Muda wa kùla ama kunywa chochote anaagiza tu tena vya bei kubwa bili ikija anajikausha...
Jamani hawa wanaboa unalipa kifurushi kinakaa wiki 2 yaani sijui mpaka uwapigie simu
Local channel ndo mmepotezea kbs halafu kingamuzi chenu mwakiuza 71000
Hovyo sana
Halafu mmeingia ubia na tbc...
Baada ya tundu lisu kuibuka na kuanza kuipinga kamati ya prof mruma kinyume na matarajio ya wengi, wabunge wa ccm wameanza kumwita msaliti, gwajima nae hakua mbali...wengine wanasema amehongwa...
Habari zenu wanajamvi,
Kuna jambo huwa sielewi kabisa, utakuta kuna shughuli ya kitaifa kama vile kongamano la Leo la siku ya mazingira, sasa kuna wale watu wahudhuriaji, utakuta anavaa sare ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.