Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

MOJA ya mambo muhimu ambayo katika ulimwengu wa sasa wa mawasiliano, hayakwepeki ni pamoja na matumizi ya simu za mkononi. Matumizi ya simu za mkononi yamerahisisha mambo mengi kutokana na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Itifaki izingatiwe, Naomba kuweka wazi msimamo wangu kiimani,naamini Mungu yupo na anatenda kazi. Sasa najiuliza hivi,unaamka usingizini saa nane za usiku kufumbua macho unakutana na malaika...
0 Reactions
3 Replies
863 Views
Kwa mliofika muhimbili siku mbili hizi mtagundua kwamba kuna katizo la umeme ati sababu ya shoti iliyotokea tangu jana mchana na kulazimika maeneo mengi zikiwemo wadi kugubikwa na kiza sanjari...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Kodi ya majengo ilikuwepo. Lakini hakuna aliyeitilia maanani. Kuanzia mwaka jana kodi imewekewa mkazo na raia wengi wameanza kuitikia. Ila, tatizo ni TRA. ukienda ofisi za Kata unapewa demand...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari za saa ndugy zangu. Naomba kujua kama Dhl wana agent Ruvuma -songea. Na kama hawapo ntaupataje mzigo wangu kwani kuna mzigo inabd nitumiwe toka nje na anataka kunitumia kupitia Dhl na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hizi michezo za kamari za kichina zimewekwa kila kona za miji na zinadumaza vijana wengi kufanya kazi...........nashauri zipigwe marufuku kama viroba ili kunusuru taifa........
0 Reactions
13 Replies
3K Views
SweetMoment UPDATE: Inatokea SASA! Hospitalini Mercy, Sioux City IA WATOTO Sadia na Wilson waruhusiwa rasmi KUTOKa hospitali ya Mercy, na wanaelekea kwenye MAKAZI yao MAPYA mjini Sioux City...
9 Reactions
35 Replies
7K Views
Mungu anisamehe! Kuna dada nimekuwa nikichart nae Facebook toka mwaka juzi wa huko Mwanza,msukuma. Alivyokuwa anatuma picha zake,nikajua hapa nimeokota embe chini ya mpera. Ile anashuka tu...
19 Reactions
106 Replies
9K Views
```Kijana mmoja alisafiri kwa meli na rafiki zake, wakiwa katikati ya safari yao meli ilianza kuzama. Watu wengi pamoja na rafiki wa yule kijana walikufa maji wakati wanajaribu kujiokoa kwa...
3 Reactions
3 Replies
750 Views
Ni maajabu, Tundu Lisu anaumia zaidi kuliko Mzungu mwenyewe aliyezuiwa kusafirisha Mzigo, Tundu Lisu anashinda kutwa kutoka povu kumtetea Mzungu, hii ndiyo shida ya kwenda Shuleni maisha yote...
21 Reactions
91 Replies
10K Views
Duniani kuna mambo mengi sana,na mengine ni mikosi! Kuna siku nilikuwa nasafiri na gari kutoka kijiji kimoja kwenda kingine. Njiani porini nikamkuta jamaa mmoja anatembea kwa miguu kuelekea...
19 Reactions
80 Replies
7K Views
Scanner imegoma wakanambia haraka haraka pita kulia kuja kuangalia ime expire time!!!-Je pesa ya ticket ambayo time ime expire na ambayo haikubali kwenye scanner je inaingia mfuko gani!!???
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Mke wa kada wa CCM amesema kwamba mauaji ya mme wake yalitokea majira ya saa 5 usiku akiwa yupo bafuni anaoga anasema mme wake alipigwa na kuuwawa kwa mapanga na watu wasiojulikana wenye silaha...
2 Reactions
35 Replies
8K Views
Habari wanajamvi, Pamoja na kazi nzuri ya Jeshi la polisi, kuna baadhi ya matukio ambayo yananifanya nisiwe na imani katika mambo kadhaa. Leo nimepeleka chakula kwa mtuhumiwa ambaye yupo central...
7 Reactions
25 Replies
3K Views
Hbr Zenu Jf.Mfano Mmegombana Kidogo Na Wife Mara Huyo Kwao Anawambia Mama Yake,baba Yake,makaka,madada,wajomba Halafu Wote Wanakujia Juu Unabaki Mdogo Kama Paka Aliyefumaniwa Akinywa Milk.Wewe...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Aman ya bwana iwe nanyi wapendwa wote wa jukwaa letu pendwa husika na kichwa cha habali hapo juu Kuna mtindo fulan umezuka kwa wanawake hasa wa makamo na dada zetu sijajua hii tabia wamecopy...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Hivi kurudia sala hiyo hiyo mara nyingi ndo kunamfanya mungu akusikiliza? Naomba kufahamishwa...sihitaji povu...
0 Reactions
1 Replies
453 Views
Mhe Rais natumai ombi langu utalisikia na kulifanyia kazi, Mhe Rais naomba uwateu wafuatao baada ya kufanya kazi nzuri ya kuua upinzani:- Zitto Kabwe - Waziri wa Nishati na Madini Haruna Lipumba...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Mkuu wa mkoa ni mjumbe wa kamati kuu ya Ccm mkoa. Sasa je, Mkuu wa mkoa mteule wa Kilimanjaro Anna Mghwira atahudhuria kama nani kwenye vikao vya kamati ya ccm ya mkoa? Naomba maoni yenu wadau...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Back
Top Bottom