Uvaaji wa sare za chama katika shughuli zisizo za kichama

uajekundu

JF-Expert Member
Jan 14, 2016
541
461
Habari zenu wanajamvi,

Kuna jambo huwa sielewi kabisa, utakuta kuna shughuli ya kitaifa kama vile kongamano la Leo la siku ya mazingira, sasa kuna wale watu wahudhuriaji, utakuta anavaa sare ya chama, hasa wale wa kijani.

Ivi hata shughuli ya kitaifa is it necessary mvae manguo yenu hayo?

Je ni wakati gani tunapaswa kuvaa SARE hizo?

Kuna haja ya kutambua chama chako hata kama ni issue ya kitaifa haiusiani na chama?

Naombeni kujuzwa tafadhali
 
Back
Top Bottom