UDART (Mwendokasi) mmegoma kabisa kukarabati na kupakia abiria kituo cha Kimara Baruti?

MLAU

JF-Expert Member
Aug 23, 2007
4,726
3,358
Kampuni ya UDART maarufu kama Mabasi ya Mwendokasi ndiyo mmegoma kabisa kwa Abiria wa Kimara Baruti??

Mbunge Mh Kubenea unajua tatizo la wanainchi wako lakini?? Kuhusu kituo cha Kimara Baruti?

Mh Diwani Manota unajua lakini tatizo la Kimara Baruti??

UDART tatizo ni nini abiria wanapata shida sana kupanda hayo mabasi!!
 
mpaka rais atoe tamko.,

afu baadhi ya vituo hawajafungua pande zote 2 kama inavyotakiwa. napo sijui tatizo nini.
 
Back
Top Bottom