Startimes tuoneeni huruma, kifurushi kinakaa wiki 2?

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
9,784
20,155
Jamani hawa wanaboa unalipa kifurushi kinakaa wiki 2 yaani sijui mpaka uwapigie simu
Local channel ndo mmepotezea kbs halafu kingamuzi chenu mwakiuza 71000
Hovyo sana
Halafu mmeingia ubia na tbc mnatumia mitambo ya kodi za watz huku mnatukatia local channel
Jipangeni upya
Hadi continental majanga wanawashinda
 
pole , amia Azam tv.
pole , amia Azam tv.
Kumbuka hii awamu 5 yenyewe inataka ulipie ili ikusanye kodi, Kenya hawafanyi hayo, kwani Kenya kuna ving'amuzi vya free to air yani Local channel na bahazi za nnje zinapatikana bure
Kumbuka hii awamu 5 yenyewe inataka ulipie ili ikusanye kodi, Kenya hawafanyi hayo, kwani Kenya kuna ving'amuzi vya free to air yani Local channel na bahazi za nnje zinapatikana bure
nchi yetu sijui tumelaaniwa
 
Mkuu Tumia Kifurushi Cha Nyota Unalipa Tsh 6000/- Unatazama Kwa Mwezi Mmoja Tembelea Kwa Wakala Wao Ama Piga Simu Startimes
 
sina hamu kabisa na startimes , na mtu akitaka hicho king'amuzi nampa bure.Nilikuwa nalipa 30,000/ vipindi vya ovyo kabisa siku zenyewe baada ya kumi wamekata mpaka TBC na kukuachia TV 1 pekee. sasa niko Taifa kubwa AZAM TV nalipa 28,000/ vipindi bwerere na siku mpaka unapata na za motisha.
 
azam wapo vzur
 
Nieleke wap kaka nije kuchukua utakuwa umenisaidia mno
 
ndiyo hvyo startimes wanakera, asa uchaguzi ni wako kero zao ama gharama.
Azam kiwango cha juu Cha kawaida ni shs 28,000.Na ukikosea ukaweka shs 30,000 hiyo 2000 iliyozidi utakutana nayo mwezi unaofata,. haipotei.kusema ukweli wanajitahidi.Inawezekana baada dstv ni wao.Tatizo Lao hawana channel nzuri za wanyama Kama Natgeo wild,au Discovery animals planet.
 
DSTV iko bomba sana, bei nafuu , chanel nzuri , picture quality iko poa, na toka nmenunua haijawah kuleta shida yoyote.
 
Mi star times nimewachoka pia lakini cha kwangu hawakati local channel napata zote bure
Wangekuwa na OTA kama azam zingesha kwenda na maji hizo chanel, azam kila baada ya muda wanafanya software update.
 
Back
Top Bottom