and 300
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 26,325
- 36,122
Kama ilivyo kwa Trafiki jijini Dar es Salaam ambao wamejipambanua na Mashine za EFD ambapo kila trafiki barabarani anayo ili kuwapa Jamba jamba madereva wakorofi waliodhamiria kwa makusudi kutofuata sheria za barabarani. NapendekezA mgambo wa jiji nao wapewe mashine hizo za EFD ili kukusanya mapato nyumba hadi nyumba ikiwemo faini mbali mbali zitakazobuniwa na jiji. Mfano, kutofanya usafi wa mazingira, kufanya biashara bila leseni, KUFUMANIWA n.k.