VIDEO: Tundu Lissu awajibu wanaomwita msaliti

ZionTZ

JF-Expert Member
Oct 6, 2009
1,283
541
Baada ya tundu lisu kuibuka na kuanza kuipinga kamati ya prof mruma kinyume na matarajio ya wengi, wabunge wa ccm wameanza kumwita msaliti, gwajima nae hakua mbali...wengine wanasema amehongwa pamoja na wabunge wengine wa upinzani.

haya yote yamemlazimu mh lissu kujitokeza hadharani na kutoa ufafanuzi kwa kina. Aeleza nini haswa kilichotakiwa kufanyika kinyume na hatua hizi zilizochukuliwa na serikali.

yafuatayo ni majibu ya mh lisu.

Hapa kuna neno. Watanzania kwa sasa tupo njia panda. Mali ni yetu wote, iweje wachache wanufaike, tena kisheria? Nani kapitisha sheria hizi. Yapo mwswali mengi na majibu yake yanaweza kuleta ukakasi usio wa lazima. Serikali ipunguze usiri na iyaanike maovu haya yawe dhambi kwa mwengine ayakaye jaribu kufuata nyayo hizo.
 
Ukijituma+maombi u can do anything finally today nmefanikiwa kua wakwanza kukoment ningependa niwashukuru sana wazaz wangu kwa kunizaa pia ex wangu kunifanya ni spend sleepless nights pia rais kwa kutunyima vibarua mpaka tumehamia jf pia ushindi wangu naudediket kwa mtoa mada namuahid asubuh nikiamka tu nitaisoma post yake thank you thank you
 
Mkuu ww sio wa kwanza...
 
Mkuu hujalazimishwa kufunga ona Sasa njaa inahamia kichwani unaandika utumbo
 
Anayeona Tundu Lisu anakosea atukuwa mpumbavu... Kama sheria zetu zimewapa wawekezaji mwanya wa kuendelea kutunyonya mnataka tupige makofi kuchekelea upuuzi wa kutaka sifa za baadhi ya watu fulani? Hizo sifa zitatuondoa MIGA? Ama kufuta hizo sheria? Hizo sifa apeleke bungeni kwa kupitia mikataba yote ya madini na gesi na kuivunja ikiwa ni pamoja na kutunga sheria zingine
 
Baada ya tundu lisu kuibuka na kuanza kuipinga kamati ya prof mruma kinyume na matarajio ya wengi, wabunge wa ccm wameanza kumwita msaliti, gwajima nae hakua mbali...wengine wanasema amehongwa pamoja na wabunge wengine wa upinzani.

haya yote yamemlazimu mh lissu kujitokeza hadharani na kutoa ufafanuzi kwa kina. Aeleza nini haswa kilichotakiwa kufanyika kinyume na hatua hizi zilizochukuliwa na serikali.

yafuatayo ni majibu ya mh lisu.

Watanzania tumejaa unafiki, tunamwona lissu msaliti ila waliosaini mikataba sio wasaliti? Na wapo walio tufikisha hapa mbona hatuwagusi? Hatuwawajibishi? Madini ni mali yetu waliyewapa makaburu wapo kwanini wasishughulikiwe? Waliopitisha sheria kwa hati za dharua si ni hao hao wenye serikali mpaka leo? Bado kuna gas nayo wanajifanya hawajui kama wachina wamemilikishwa kwa miaka 100? Accacia ni wezi ila GGM wanaochimba kwa miaka 100 geita sio wezi? Mbona wanafukuza wazawa kila eneo lenye dhahabu wanasema kuna beacon zao? na polisi wanaotakiwa kulinda usalama wa raia na mali zao ndio hao hao wanaotumika kutisha raia na kulinda makaburu? HERI UWE FUKARA WA KIPATO KULIKO KUWA MASIKINI WA AKILI... MUDA NI MWALIMU MZURI TUTATUKANWA NA WATOTO NA WAJUKUU ZETU KWA KUUKUMBATIA UKOLONI MPYA WA KIUWEKEZAJI KWA MIKATABA YA HOVYO TULIYO SIGN BORA MABABU ZETU WALIPIGANA HATA VITA KUFUKUZA WAKOLONI. Sasa hivi hata historia za kina milambo, mkwawa, kinjekitile n.k hatufundishi watoto wetu tumekomaa na historia za wakoloni tu. AIBU YETU.
 
Kuna sheria na mikataba, Mimi sio mwanasheria lakini hivi ni vitu tofauti. Kubadilisha sheria ni moja ya suluhisho la kuibiwa Kama Lissu anavyo shauri, Ila bado tutakuwa hatuja pata suluhisho maana mikataba nayo ni mibovu na ni ya muda mrefu. Sasa swali ni kwamba tukisha badilisha sheria hii mikataba tunaivunja vipi?

Katika kujibu hili swali ndipo pengine unaweza fikiria njia aliyo tumia raisi inaweza saidia kuivunja endapo itabainika kuwa kuna udanganyifu kwenye declaration of concentration of minerals kwenye huo mchanga
 
Anayeona Tundu Lisu anakosea atukuwa mpumbavu... Kama sheria zetu zimewapa wawekezaji mwanya wa kuendelea kutunyonya mnataka tupige makofi kuchekelea upuuzi wa kutaka sifa za baadhi ya watu fulani? Hizo sifa zitatuondoa MIGA? Ama kufuta hizo sheria? Hizo sifa apeleke bungeni kwa kupitia mikataba yote ya madini na gesi na kuivunja ikiwa ni pamoja na kutunga sheria zingine

Aliyoyasema Tundu hayahitaji kuwa na hata diploma kumwelewa, kaeleza wazi kabisa, nilichojifunza ni kwamba wanaompinga ni kama wanajikanyaga kwa miguu yao wenyewe
 
Back
Top Bottom