Kwa hiyo Ombi lako nini?Huko same kilimanjaro wakazi wake wanatazamia kumuona waziri wa ardhi ili kujua hatima ya ardhi yao iliyochukuliwa kwa ajili ya kupisha mradi mkubwa wa umeme tangu mwaka jana.
Hata me cjamuelewa. Ametoa ombi au taarifa. Eleza ueleweke na ukishindwa kaa pembeni siyo lazima upost mada.Kwa hiyo Ombi lako nini?