Naomba kufahamishwa zaidi juu ya 'fake death'

Satuuuu

JF-Expert Member
Dec 3, 2015
1,849
1,993
Hapa kwetu Tz napo palikua na maneno ya namna hiyo kwa bwana mmoja ambae inasemekana mamlaka kuu waliamua kufanya hivyo kutokana na sababu za 'kikaunda suti'.Napo jeneza lilikuja likazikwa bila kuaga mwili.

Sasa wakuu mnifahamishe inakuaje yote hayo yawezekane na wanaposema plastic sgery ndo ipoje ?
 
plastic suggery hutumika kubadilishia maumbile, sura na muonekano wa mtu, sasa inategemea unataka kubadilisha sura na umbo kwaajili ya lengo gani ivyo tu.
 
Zipo fake deaths ila pia huwa zina bebwa na serikali fulani ikiwa kuna faida kufanya hivyo kuficha mbele ya walengwa.

Aliye jifanya kafa hupewa new identity na kuishi nchi nyingine maisha tofauti hadi kufa kwake asijulikane public.
 
Mada yako haieleweki vizuri, tupe mfano hai labda utaeleweka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom