Msaada wa kuipata RFA radioni hapa Tanga.

Jacobus

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
4,700
1,721
Wakuu, niliisha wahi kuposti ombi TCRA hapa hapa JF kuwaomba wafikirie kugawa masafa ya radio kwa FM makundi mawili. 1-kitaifa na 2-kimkoa au eneo dogo. Hii inapunguza usumbufu wa kila mkoa kwa mfano inakulazimisha kuanza kutafuta radio moja baada ya nyengine baada ya kusachi. Tokea juzi nipo hapa Tanga na kila siku nasachi kubahatisha RFA sijaipata na nipo mjini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom