Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hivi kweli makampuni ya simu yanashindwaje kuweka kifurushi labda cha week au cha mwezi kwa ajili ya apps za channel? mfano simu tv wakubaliane may be na voda ukitaka kuangalia uwe unalipia...
0 Reactions
6 Replies
951 Views
...
1 Reactions
0 Replies
783 Views
Nyoka ni marafiki zetu na sio maadui, tusiwadhuru bila ya sababu bali tujenge nao urafiki Niliwahi kutoa uzi. Kueleza na kusihi tusiwaue Nyoka pindi waombapo hifadhi ya joto. Mwanamke mmoja...
4 Reactions
63 Replies
12K Views
Kuna baadhi ya watu wanasema nyoka mzuri pekee ni nyoka aliyekufa lakini wataalamu wanasema msemo huo upo mbali na ukweli.Wanasema uwaache sababu kuwaua utasababisha walete madhara makubwa...
11 Reactions
134 Replies
21K Views
Naiomba hii mamlaka husika katika maswala ya barabara waweke kibao kinachoelekeza speed limit ya 50KPH katika barabara ya kuelekea Mbagala eneo la mtongani kwa mbele ambapo kuna daraja la treni...
0 Reactions
3 Replies
772 Views
Habari ya asubuhi. Naombeni ushauri kuna uhusiano wowote juu ya uchimbaji wa kisima kwa kutumia machine na msimu wa mvua? Kwa wataalamu wa miamba na wenye uzoefu wa hili swala naomba mnisaidie...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
ndugu wanajamvi naombeni kujuzwa jinsi ya kwenda china nina passport na kaela fulan tu kuanzia hapo sijui lolote. 1.ningependa kujua kwa hapa tanzania nifanye nin 2.ni mwez gani mzuri wa kwenda...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Wadau nisaidieni.watumishi wa serikali tunaambiwa majina yetu ya ajira lazima yafanane sawa na ya benki katika kupokea mshahara.sasa kama majina ya ajira ni john momi Loti,lakini kwa taratibu za...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwaka uliopita tarehe kama ya jana tr 1 June 2016 ndio ilikiwa siku rasmi ya kuzima simu bandia Kwa siku hiyo ya kwanza zilizimwa simu baadhi na kupelekea vilio kwa wamiliki wake Hata hivyo zoezi...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
1. Ni upepo tu Utapita- JK 2. Liwalo na Liwe- Pinda 3. Kudadaadeki- Lusinde 4. Mutasikitika sana kumpoteza waziri kama mimi- Nchimbi 5. Tanzania is made up of Ungaja zimbabwe and Tanganyika- Mlogo...
0 Reactions
83 Replies
9K Views
Hiyo ni simple process flow sheet ya namna ya kuprocess ore yenye copper mpaka kufikia hatua yakwenda kwenye smelter. Na kuna njia tofauti tofauti za kuchenjua mpaka kufikia final product.
0 Reactions
0 Replies
5K Views
IKIWA ni siku chache baada ya mkazi wa Mtaa wa Kanyerere jijini Mwanza, Maximilian Ndegere (40) Mwanza kumuua mkewe Teddy Patrick (38) kwa risasi na kisha yeye kujiua, matukio ya wanandoa kuuana...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Maisha ya mwanadamu kwa sasa yanategemea mno bidhaa za plastiki katika kuhifadhia mizigo mbalimbali ikiwamo vyakula, maji na mafuta ya kula. Licha ya kutumika katika matumizi mbalimbali katika...
1 Reactions
3 Replies
6K Views
Copy and paste from Fbook. Rafiki yangu niliyemaliza nae kidato cha nne 2010 akakosa nafasi ya kwenda kidato cha sita kutokana na ufaulu wake (alikosa credit), akaenda uwalimu wa shule ya msingi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jeuri ya fedha bhana!! Kijana bilionea huko Abu Dhabi ametoa ofa ya maana kwa watu wote waliokuwa kwenye Mall ya Lulu kwa muda wa dakika 30, ofa hiyo iliwataka wachukue chochote wanachotaka ndani...
3 Reactions
96 Replies
12K Views
Kudadaddddaaadeeeeki, e bwanaeeeeeeeeeeee,nooma sana.
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Mtu ambaye moyo wake umejaa mawazo ya matusi, siku zote atakuwa anaropoka matusi tu. Moyo ukijaa mawazo ya uzinzi siku zote utakuwa unaongelea uzinzi tu. Moyo ukijaa ushetani wa tafsiri mbaya...
4 Reactions
15 Replies
11K Views
On a crisp late May afternoon in Dar es Salaam Ally Awadh, one of Tanzania’s most prominent businessmen, is waxing lyrical about a deal he has just concluded. Recently, the Competition Authority...
1 Reactions
108 Replies
40K Views
Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Taasisi ya Nathan Mpangala Foundation (NMF), Nathan Mpangala amesema umefika wakati sasa Katiba kutoa ulinzi kwenye kazi za ubunifu. Mpangala alikuwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wiki hii walifanyiwa mahojiano na Gazeti la Mwananchi na kufunguka mengi kuhusu maisha yao pamoja na ishu yao ya kufikiria kuolewa. Si rahisi kufikiria maisha ya ndoa ya Maria na Consolata kwa...
12 Reactions
141 Replies
19K Views
Back
Top Bottom