Ada elekezi kwenye shule binafsi zimeishia wapi?

shakidy

Senior Member
May 11, 2009
127
71
Kati ya mambo yaliyopigiwa upatu sana mwanzoni mwa serikali ya awamu hii ni kuwepo kwa ada elekezi kwenye shule binafsi za msingi na sekondari.

Hatima ya hili suala imenipita au bado mchakato unaendelea.
 
Dawa ya ada kubwa kwa shule binafsi ni shule bora za serikali zinazofundisha kwa kiwango cha juu zitakazoondoa demand ya wananchi kwa huduma ya shule binafsi. Hizi nyigine ni porojo tu za wanasiasa.
 
Kati ya mambo yaliyopigiwa upatu sana mwanzoni mwa serikali ya awamu hii ni kuwepo kwa ada elekezi kwenye shule binafsi za msingi na sekondari. Hatima ya hili suala imenipita au bado mchakato unaendelea.
Serikali ina ukosefu wa kumbukumbu ya muda mrefu.
 
Kati ya mambo yaliyopigiwa upatu sana mwanzoni mwa serikali ya awamu hii ni kuwepo kwa ada elekezi kwenye shule binafsi za msingi na sekondari. Hatima ya hili suala imenipita au bado mchakato unaendelea.

Siyo kweli. Suala la ada elekezi ilikuwa la Dr. Kawambwa. Ilikuwa ni upuuzi mtupu. Kumbuka ada kubwa huendana na huduma nzuri kwa watoto. Kama serikali inazipenda hizo huduma basi ijenge shule zake kama hizo. Huwezi kumpangia mzazi ampeleke shule gani mtoto wake.
 
Kati ya mambo yaliyopigiwa upatu sana mwanzoni mwa serikali ya awamu hii ni kuwepo kwa ada elekezi kwenye shule binafsi za msingi na sekondari. Hatima ya hili suala imenipita au bado mchakato unaendelea.
Zilikuwa mbio za ku possibilize* I'm possibilities
 
Tulikurupuka tukadhani tuna akili zaidi kuliko wengine. Tumekuja kugundua kumbe kuna wenye akili kuliko zetu. Suala la ada shule za watu binafsi huwezi kuingiza siasa. Huduma zao ni bora kuanzia chakula, affya, walimu, vitabu, mahabara, study tours, excursions, burudani nk. Hivyo vyote vyahitaji pesa ndio maana milioni tatu ni halali.
 
Back
Top Bottom