steve_shemej
JF-Expert Member
- Nov 26, 2015
- 1,171
- 1,580
Katika kufanya uchunguzi nimegundua ni kweli "we are poor because we are poor" pia nimeamini maskini akili hatuna kabisa.
Leo ukimuuliza mtu serikali imekusaidia nini? Anakujibu hii serikali nzuri huoni saizi tuna heshimiana? nilichogundua masikini wanafurahi kwakuwa wote tumekuwa masikini ndiyo furaha yao.
Wamesahau matajiri wengi wapatia vibarua wao maskini wapate vihela kidogo hilo hawawazi wanabaki kusema serikali hii nzuri baada ya muda analalamika saa hizi pesa ngumu.
Wengine wanasema hospitali sasa hivi kuna heshima wamesahau kuna heshima ila hakuna dawa sasa sijui heshima ya wauguzi ndiyi itawaponesha
kutokana na hili nimekuja kuamini kuwa ukitaka kumtawala mtu mnyime elimu, mnyime uhuru hapo unakuwa umemaliza ni hilo linaonekana wazi kabisa hapa Tanzania watanzania wengi hatuna elimu ndiyo maana tunafurahia visivyofurahika